• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Human Resource and Administration
      • Finance and Accounts
      • Secondary Education
      • Primary Education
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Internal Audit
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

Mbunge wa Jimbo la Mbulu Mjini Mhe. Issaay Zacharia Paulo na Mkurugenzi wa Halamshauri ya Mji wa Mbulu Ndg. Yefred Myenzi pamoja na Wajumbe wengine wafanya ziara ya kutembelea na kukaguwa miradi ya UVICO 19

Posted on: November 24th, 2021

Mbunge wa Jimbo la Mbulu Mjini Mhe. Issaay Zacharia Paulo.

Ameshiriki Kikao Cha K/Fedha Halmashauri ya Mji wa Mbulu na Mara baada ya Kikao hicho Mhe. Mbunge Pamoja na Timu ya Mkurugenzi wa Mbulu Mji Wamefanya Ziara katika Kata Mbali Mbali.

Katika Ziara hiyo Mbunge Pamoja na Wajumbe wengine na Wataalam wamekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Madarasa unaoendelea kupitia Fedha za UVIKO 19..

1. Kata ya Kainam, Ujenzi wa Madarasa Mawili shule ya Sekondari Kainam, Tsh. 40M   zimetolewa.

2. Kata ya Nahasey, Ujenzi wa Madarasa Mawili shule ya Sekondari Soweda, Fedha Kiasi Cha Tsh. 40M zitagharimu Ujenzi huo.

3. Kata ya Murray, Ambapo Ujenzi Unaendelea katika shule Shikizi ya Hinday, Fedha Kiasi Cha 40M kutumika katika Ujenzi huo.

4. Kata ya Nambis Ambapo,Ujenzi Unaendelea shule ya Sekondari ya Hhaynu Madarasa Mawili na shule ya Sekondari Nambis Madarasa Mawili Fedha Kiasi Cha 80M. Kutumika katika Ujenzi huo.

 Mhe. Mbunge na Wajumbe Wengine Pamoja na Mkurugenzi  Wameendelea kumshukuru Rais wa JMT kwa Kuendelea kuthamini na kuihudumia Jamii ya Watanzania hasa katika sekta ya Elimu kwa kuwaletea mradi huu mkubwa na Wamehidi kukamilisha Miradi hiyo ndani ya mda uliopangwa.

Lakini pia Mhe. Mbunge Amewashukuru Jamii na Wananchi kwa ujumla kwa kukubali kupokea Miradi hiyo na kujitolea kwa mda wote pale wanapohitajika Ili Kukamilisha Miradi hiyo ndani ya mda uliopangwa na Ikiwezekana hata kabla ya mda.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA 2022 July 27, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI III JOPO LA TATU 17/07/22 July 17, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2021 YAMETANGAZWA RASMI. January 15, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI WA VIJIJI III JOPO LA PILI 16/07/2022 July 16, 2022
  • Ona zote

Habari mpya

  • Bashunga aahidi kusimamia uwekaji wa mazingira wezeshi kwa Wafanyabiashara

    June 11, 2022
  • MAADHIMISHO YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR HALMASHAURI YA MJI WA MBULU

    April 26, 2022
  • Maadhimisho ya siku ya Wanamke Duniani.

    March 07, 2022
  • ZIARA YA NAIBU WAZIRI WIZARA YA HABARI,MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI

    January 20, 2022
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ujenzi

    Anuani: P.O Box 164 Mbulu

    Simu: +255 272 2533331

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: td@mbulutc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.