• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe kwa wafanyakazi |
Halmashauri ya Mji Mbulu
Halmashauri ya Mji Mbulu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Human Resource and Administration
      • Finance and Accounts
      • Secondary Education
      • Primary Education
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Internal Audit
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Video
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Matukio
  • Miradi
    • Approved Project
    • Ongoing Project
    • Completed Project
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma kwa watumishi
    • Maij
    • Elimu
    • Uvuvi
  • Kata
    • Ayamaami
    • Ayamohe
    • Bargish
    • Daudi
    • Endagikot
    • Gehandu
    • Gunyoda
    • Imboru
    • Kainam
    • Marangw
    • Murray
    • Nahasey
    • Nambis
    • Sanubaray
    • Silaloda
    • Tlawi
    • Uhuru
  • Uwekezaji
  • Madiwani

NAIBU WAZIRI ULEGA AFUNGA NANE NANE KANDA YA KASKAZINI

Posted on: August 8th, 2019

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amefunga rasmi maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kaskazini katika viwanja vya Taso Themi Jijini Arusha.

Akizungumza mara baada ya kutembelea maonesho hayo Ulega amesema kuwa amefurahishwa na Paredi ya Mifugo aliyoiona katika paredi ya mifugo na kuupongeza mkoa wa Arusha kwa kuwa wafugaji wenye mifugo bora tofauti na alivyodhani.

Amesema katika maonesho hayo amezoea kuona mifugo bora inatoka kwa Taasisi za Serikalini kama Ranchi ya Taifa (NARCO), Jeshi la Magereza lakini wafugaji kutoka wilaya za Monduli, Longido, Ngorongoro ndio wameibuka Vinara wa kuwa na Mifugo bora.

Hata hivyo amezitaka Taasisi mbali mbali viwanjani hapo kutoa taarifa za vipeperushi kwa wakulima na wafugaji tofauti na maelezo ili kuwawezesha, wakulima na wafugaji kutunza kumbukumbu na kufanya rejea hapo baadae kwa kuwa hawawezi kukumbuka kila kitu.

Ulega amesema amefurahishwa na Tasisi za fedha ambazo zimeonesha kuwasaidia wakulima na wafugaji viwanjani hapo kwa kutoa mikopo ya mitaji kwa kuwa ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa muda mrefu sasa.

Amesema Serikali itafurahishwa endapo itaona uwekezaji mkubwa wa viwanda vya kusindika mazao ya Kilimo na kuchakata Mifugo, kwa kuwa mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha uwepo wa rasilimali ni mkubwa.

Matangazo

  • UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA FEBRUARI - MEI, 2022 June 10, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YATANGAZWA SHULE ZA SERIKALI ZANG'ARA. July 05, 2022
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA UDEREVA NA WATENDAJI WA VIJIJI HALMASHAURI YA MJI WA MBULU July 05, 2022
  • MATOKEO YA MTIANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2020 November 21, 2020
  • Ona zote

Habari mpya

  • Bashunga aahidi kusimamia uwekaji wa mazingira wezeshi kwa Wafanyabiashara

    June 11, 2022
  • MAADHIMISHO YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR HALMASHAURI YA MJI WA MBULU

    April 26, 2022
  • Maadhimisho ya siku ya Wanamke Duniani.

    March 07, 2022
  • ZIARA YA NAIBU WAZIRI WIZARA YA HABARI,MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI

    January 20, 2022
  • Ona zote

Video

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BUNGENI
More Videos

Tovuti mashuhuri

  • Babati dc Website
  • Hanang' dc Website
  • Babati Town Website
  • Simanjiro Website
  • Kiteto Website
  • Mbuludc Website

Tovuti Mbadala

  • Manyara Reginal Website
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Ikulu
  • BLOG RASMI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Ujenzi

    Anuani: P.O Box 164 Mbulu

    Simu: +255 272 2533331

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: td@mbulutc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2020 GWF . All rights reserved.